Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (wa pili kushoto) akiwa na Katibu wake, Selestine Mwesigwa (kushoto kabisa), Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Geoffrey Nyange 'Kaburu' (katikati) Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam tayari kupandishwa kizimbani kujibu tuhuma mbalimbali zinazowakabili. Kulia kabisa ni Rais wa Simba, Evans Aveva ambaye naye pia anakabiliwa na tuhuma sawa na Kaburu
Wakubwa wakiwa Mahakama ya Kisutu, ambako wamefikishwa baada ya kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)
Mwesigwa akiongoza kuelekea mahakamani baada ya kuwasili asubuhi ya leo, huku akifuatiwa na Malinzi
Huyu mwingine inaonekana ni Ofisa wa TAKUKURU aliyekuwa anawaongoza
Azeez Al-Shaair Accepts 'Villain' Role in Reaction to NFL Suspension for
Lawrence Hit
-
Azeez Al-Shaair is embracing the villain role after getting backlash for a
hit that left Jacksonville Jaguars quarterback Trevor Lawrence concussed.
Al-Sha...
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment