Nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo akimbusu binti mdogo mlemavu jana Uwanja wa Otkrytiye Arena mjini Moscow kabla ya mchezo dhidi ya wenyeji Urusi. Kwa busu hilo, baraka za mtoto huyo zilimsaidia Ronaldo kuifungai bao pekee la ushindi wakiilaza 1-0 Urusi kwenye mchezo huo wa Kundi A Kombe la Mabara PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Revealed: The most valuable footballers in the world - £209m Jude
Bellingham beats £184m Erling Haaland in boffins' list... and which Premier
League stars crack the top 20 including three shock picks?
-
The CIES Football Observatory have compiled a list of the top 100
footballers by factoring in a player's age and contract length, and it is
Bellingham who ...
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment