// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MADEGA ATAKA KITI CHA MALINZI TFF, ACHUKUA FOMU LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MADEGA ATAKA KITI CHA MALINZI TFF, ACHUKUA FOMU LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, June 16, 2017

    MADEGA ATAKA KITI CHA MALINZI TFF, ACHUKUA FOMU LEO

    Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Imani Madega akionyesha fomu ya kugombea Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya kuichukua leo makao makuu ya shirikisho hilo, Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Jamal Emil Malinzi, Katibu Mkuu wa zamani wa Yanga, ndiye Rais wa TFF kwa sasa  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MADEGA ATAKA KITI CHA MALINZI TFF, ACHUKUA FOMU LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top