// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); HAWA HAPA TEMBELE NA MTEMI NA FOMU ZAO KUWANIA UONGOZI TFF - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE HAWA HAPA TEMBELE NA MTEMI NA FOMU ZAO KUWANIA UONGOZI TFF - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, June 19, 2017

    HAWA HAPA TEMBELE NA MTEMI NA FOMU ZAO KUWANIA UONGOZI TFF

    Viungo wa zamani wa timu ya taifa, Taifa Stars, Ally Mayay Tembele (kushoto) na Mtemi Ramadhani (kulia) wakiwa ameshika fomu ya kugombea uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya kuchukua asubuhi ya leo ofisi za shirikisho hilo, Uwanja wa Karume, Dar es Salaam leo. Mayay aliyewahi kuchezea Yanga, anawania Urais na Mtemi, mchezaji wa zamani wa Simba anataka Umakamu wa Rais 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAWA HAPA TEMBELE NA MTEMI NA FOMU ZAO KUWANIA UONGOZI TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top