Cris Cyborg atapanda ulingoni kupigana na Megan Anderson kuwania taji la UFC 214 uzito wa Feather wanawake Julai 29, mwaka huu. Wawili hao watawania taji lililoachwa wazi na Germaine de Randamie aliyevuliwa kwa kukataa kupigana na Cyborg PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Scotland midfielder Kerr joins Liverpool on loan
-
Liverpool sign Bayern Munich and Scotland midfielder Sam Kerr on loan until
the end of the season.
32 minutes ago
0 comments:
Post a Comment