
Friday, June 30, 2017

KWA kuchanganya utajiri wao, unafika pauni Milioni 288 kwa pamoja. Lakini kati ya hizo, Floyd Mayweather ana utajiri wa thamani ya Pauni...
KAMATI YA UTENDAJI SIMBA SC KUJADILI MUSTAKABALI WA KLABU KESHO
Friday, June 30, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Utendaji ya Simba SC kesho inatarajiwa kukutana kujadili mustakabali wa klabu baada ya viongozi...
KICHUYA AWANIA ‘KIATU CHA DHAHABU’ COSAFA 2017
Friday, June 30, 2017
Na Mwandishi Wetu, RUSTERNBURG WINGA wa Tanzania, Shiza Ramadhani Kichuya anachuana na Mzimbabwe, Ovidy Obvious Karuru kuwania ufungaji bo...
NATHAN AKE ATUA BOURNEMOUTH KWA DAU LA REKODI
Friday, June 30, 2017
Nathan Ake akiwa amevaa jezi ya AFC Bournemouth na kuinua skafu yake, baada ya beki huyo kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 20 kutoka...
UJERUMANI 4-1 MEXICO
Friday, June 30, 2017
WANYAMA KUZURU UGANDA PIA, ATACHEZA HADI MECHI
Friday, June 30, 2017
KIUNGO wa kimataifa wa Kenya na klabu ya Tottenham Hotspur ya Ligi Kuu ya England, Victor Wanyama atazuru Uganda katika ziara iliyoandaliw...
TAIFA STARS NA MAURITIUS KATIKA PICHA JANA MORULENG
Friday, June 30, 2017
Kiungo wa Tanzania, Erasto Nyoni akimtoka mchezaji wa Mauritius katika mchezo wa mwisho wa Kundi A Kombe la COSAFA Castle jana Uwanja wa ...
Thursday, June 29, 2017
MAGWIJI BARCA WATUA ARGENTINA KWENYE 'MNUSO' WA MESSI
Thursday, June 29, 2017
WACHEZAJI wenzake wa sasa na wa zamani Lionel Messi katika timu ya Barcelona wamewasili Argentina kwa ajili ya harusi ya mwenzao huyo anay...
RONALDO WATOTO WATATU MAMA HAWAJULIKANI!
Thursday, June 29, 2017
Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo ameposti picha hii ya watoto wake pacha, Mateo na Eva waliozaliwa na mama ambaye hajatajwa baa...
GORETZKA AFUNGA MBILI UJERUMANI YAUA 4-1 NA KWENDA FAINALI KOMBE LA MABARA
Thursday, June 29, 2017
Leon Goretzka (kulia) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Ujerumani mabao mawili dakika za sita na nane katika ushindi wa 4-1 dhidi ...
WAGOMBEA 29 TU WAJITOKEZA USAJILI WA UCHAGUZI TFF
Thursday, June 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imefanya usaili kwa wagombea 29 tu kati ya 72 wa...
MEXIME NA WENGINE 18 WAHITIMU KOZI YA UKOCHA DARAJA A CAF
Thursday, June 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA wa Kagera Sugar, Mecky Mexime ni kati ya makocha 19 waliohitimu kozi ya Daraja ‘A’ ya Shirikisho la...
STARS YATINGA ROBO FAINALI COSAFA, KUCHEZA NA BAFANA JUMAPILI
Thursday, June 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TANZANIA imekwenda Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Kusini mwa Afrika (COSAFA) Castle baad...
MALINZI ‘ACHINJWA KIAINA’ UCHAGUZI TFF
Thursday, June 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM NI miujiza tu inasubiriwa ili kumnusuru Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi arejee k...
TAMBWE AONGEZA MIAKA MIWILI YANGA SC
Thursday, June 29, 2017
Mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Amissi Joselyn Tambwe (kulia) akisaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuichezea Yanga SC huku ak...
FEDHA ZA OKWI 'ZAWALAZA JELA' AVEVA NA KABURU HADI JULAI 13
Thursday, June 29, 2017
Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAM VIONGOZI wa juu wa Simba SC, Rais Evans Elieza Aveva na Makamu wake, Geoffrey Nyange ‘Kaburu’ wamepelekwa m...
MALINZI, AVEVA, KABURU NA MWESIGWA WAFIKISHWA MAHAKAMANI
Thursday, June 29, 2017
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (wa pili kushoto) akiwa na Katibu wake, Selestine Mwesigwa (kushoto kabisa), Mju...
AZAM FC YAANZA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA, YAALIKWA RWANDA,
Thursday, June 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, jana jioni ilianza rasmi mazoezi ya kujiandaa na msimu...
URENO 0-0 (PEN 0-3) CHILE
Thursday, June 29, 2017
MANNY PACQUIAO ALIVYO TAYARI KURUDI ULINGONI JUMAPILI
Thursday, June 29, 2017
Manny Pacquiao (kushoto) akinyoosha mkono wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari kuelekea pambano lake kutetea mkanda wake wa WBO uzito...
RONALDO 'ACHEZEWA KINDAVA' URENO YANG'OLEWA KWA MATUTA KOMBE LA MABARA
Thursday, June 29, 2017
Nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo akipambana na Mauricio Isla wa Chile katikaa mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Mabara usiku wa Jumatan...
Wednesday, June 28, 2017
AVEVA, KABURU NAO WANASHIKILIWA NA TAKUKURU, YADAIWA SABABU YA FEDHA ZA OKWI
Wednesday, June 28, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM RAIS wa Simba SC, Evans Elieza Aveva na Makamu wake, Geoffrey Nyange ‘Kaburu’ wanashikiliwa na Taasisi ya...
NGOMA ABAKI YANGA, ASAINI MIAKA MIWILI LEO
Wednesday, June 28, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Zimbabwe, Donald Dombo Ngoma amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendele...
TAIFA STARS NA ANGOLA KATIKA PICHA JANA BAFOKENG
Wednesday, June 28, 2017
Kiungo wa Tanzania, Muzamil Yassin (kulia) akimtoka mchezaji wa Angola katika mchezo wa Kundi A Kombe la COSAFA Castle jana Uwanja wa Uwa...
MTIBWA SUGAR YAMTEMA BAHANUZI, YASAJILI WAWILI WAPYA
Wednesday, June 28, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WAFALME wa zamani wa soka ya Tanzania, Mtibwa Sugar wamesajili wachezaji wapya wawili chipukizi, ambao ni...
Subscribe to:
Posts (Atom)