Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akiwa juu ya mabeki wa Tanzania Prisons, Michael Ismail na Nurdin Chona (kulia) jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0
Winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya akimtoka Michael Ismail wa Prisons
Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kushoto) akipambana na beki wa Prisons, Michael Ismail
Winga wa Yanga, Simon Msuva akimtoka beki wa Prisons
Kipa wa Prisons, Aaron Kalambo akienda juu kudaka dhidi ya Amissi Tambwe wa Yanga, huku akilindwa na mabeki wake
Mchezaji wa Prisons akiruka na Amissi Tambwe wa Yanga kuwania mpira wa juu
Beki wa Yanga, Mwinyi Hajji Mngwali akimuacha chini mchezaji wa Prisons
Kikosi cha Yanga jana Uwanja wa Taifa na chini ni kikosi cha Prisons
Does it work when a manager returns to his old club?
-
As David Moyes returns to Everton, BBC Sport looks at whether managers have
enjoyed success in their second spells at clubs.
33 minutes ago
0 comments:
Post a Comment