Kipa wa Kagera Sugar, Juma Kaseja (kulia) akiruka juu kudaka mpira dhidi ya mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Yanga ilishinda 2-1
Kipa wa Yanga, Benno Kakolanya akiwa juu kudaka mpira katika mchezo wa jana
Winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya akiwatoka wachezaji wa Kagera Sugar
Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Kagera Sugar
Beki wa Kagera Sugar, Anthony Matogolo akiudhibiti mpira dhidi ya wachezaji wa Yanga, Simon Msuva (kushoto) na Obrey Chirwa (kulia)
Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kulia) akitafuta mipango ya kumpita mchezaji wa Kagera Sugar
Mshambuliaji wa Kagera Sugar, Mbaraka Yussuf Abeid akimiliki mpira mbele ya beki wa Yanga, Mwinyi Hajji Mngwali
Wachezaji wa timu zote wakiwa wamesimama kuomboleza msiba wa wanafunzi 36 na walimu wao pamoja na dereva waliofariki katika ajali ya basi dogo aina ya Coaster Jumamosi mjini Arusha
Kikosi cha Yanga kilichoanza jana na chini ni kikosi cha Kagera Sugar
NFL Rumors: Derek Carr 'in Line' to Return to Saints in 2025 amid Salary
Cap Issues
-
The New Orleans Saints could keep Derek Carr as the team's starting
quarterback in 2025 due to a lack of salary cap flexibility, according to
ESPN's Adam…
22 minutes ago
0 comments:
Post a Comment