Umati wa mashabiki wa Simba Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma tayari kuishuhudia timu yao ikimenyana na Mbao FC katika fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federtion Cup (ASFC) kuanzia Saa 10:00 jioni ya leo
Wengi kati ya mashabiki hawa wamesafiri kutoka Dar es Salaam inapookea pia timu yao
Mashabiki wa Simba walianza kuwasili mjini Dodoma jana
Uwanja wa Jamhuri umepambwa kwa rangi nyeupe na nyekundu za mavazi ya mashabiki wa Simba na bendera zao
Pamoja na watu wengi ndani, lakini na nje bado watu wapo kwenye foleni za kukata tiketi na wengine za kuingia
Aaron Rodgers reveals he will hold talks with the Jets in next 24 hours as
he weighs up NFL retirement
-
The legendary quarterback made history on Sunday when he threw his 500th
career touchdown in the Jets' win over the Dolphins, and rumors are
continuing to ...
49 minutes ago
0 comments:
Post a Comment