Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrisons Mwakyembe (kushoto) akishuhudia uzinduzi wa kampuni ya SportPesa Tanzania asubuhi ya leo hoteli Hyatt Kilimanjaro, Dar es Salaam.
Tafrija fupi ya uzinduzi wa SportPesa Tanzania imefana leo Hyatt Kilimanjaro
Waziri Mwakyembe alitoa hotuba fupi ya kuikaribisha SportPesa Tanzania
Mkurugenzi wa SportPesa Tanzania, Tarimba Abbas (kulia) akizungumza kwenye hafla hiyo
Watangazaji wa Azam TV, Michael Maluwe na Patrick Nyembera wakiwa na msanii, Idris Sultan
Mwanamuziki maarufu, Ambwnee Yessayah 'AY' wa pili kulia
Makamu wa Rais wa Simba SC, Geoffrey Nyange 'Kaburu' (kushoto) nakiwa na Katibu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa
Wadau mbalimbali wakifuatilia uzinduzi wa SportPesa Tanzania
Nyota wa muziki wa Rap Tanzania, Hamisi Mwinjuma 'Mwana FA' (kulia) alikuwepo pia
Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Dk. Jabir Idriss Katundu alikuwepo
Jude Bellingham appears to join in with X-rated chant about Alan Shearer,
as he watches brother Jobe play for Sunderland on Boxing Day during Real
Madrid's winter break
-
Jude Bellingham saw the funny side as Sunderland supporters sang a rude
chant about Newcastle legend Alan Shearer while he was in attendance at
their Boxin...
14 minutes ago
0 comments:
Post a Comment