Manuel Lanzini akishangilia baada ya kuifungia West Ham United bao pekee la ushindi dakika ya 65 ikiilaza Tottenham Hotspur 1-0 usiku wa jana Uwanja wa London katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Kwa matokeo hayo, Spurs inaelekea kujitoa kwenye mbio za ubingwa na sasa wapinzani wao, Chelsea watajihakikishia taji wakishinda mechi zao mbili zijazo. Chelsea wanaongoza kwa pointi zao 81 za mechi 34, wakati Spurs ni wa pili kwa pointi zao 77 za mechi 35 sasa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Wales pick uncapped Edwards and Mee for Six Nations as Faletau returns
-
Wales names Ospreys fly-half Dan Edwards and Scarlets wing Ellis Mee as two
uncapped players in a 34-man squad for the 2025 Six Nations.
35 minutes ago
0 comments:
Post a Comment