Kiungo Kenny Ally (kulia) aliyekuwa anatakiwa na Yanga akikabidhiwa jezi ya Singida United leo baada ya kusaini Mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu hiyo mpya ya Ligi Kuu kutoka Mbeya City ya Mbeya. Katikati ni Mratibu wa Singida United, Sanga Festo na kushoto ni Katibu wa timu hiyo,
Kenny Ally ameamua kusaini Singida United baada ya kuona Yanga wanachelewa kumalizana naye

0 comments:
Post a Comment