// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA ILIVYOHITIMISHA MSIMU WA LIGI KUU KWA KUIPIGA MWADUI JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA ILIVYOHITIMISHA MSIMU WA LIGI KUU KWA KUIPIGA MWADUI JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, May 21, 2017

    SIMBA ILIVYOHITIMISHA MSIMU WA LIGI KUU KWA KUIPIGA MWADUI JANA

    Kipa wa Mwadui FC, Shaaba Kado akimuangusha mshambuliaji wa Simba, Shizza Kichuya katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tukio liliwapa Simba penalti na Kichuya mwenyewe akaenda kufunga bao la kwanza katika ushindi wa 2-1
    Kiungio wa Mwadui FC Abdallah Seseme akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Simba, Said Ndemla 
    Kiungo mshambuliaji wa Simba, Pastory Athanas akimtoka beki wa Mwadui FC
    Kiungo wa Simba, Muzamil Yassin (kushoto) akimiliki mpira dhidi ya mchezaji wa Mwadui
    Kikosi cha Simba kwenye mchezo wa jana
    Kikosi cha Mwadui FC kwenye mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA ILIVYOHITIMISHA MSIMU WA LIGI KUU KWA KUIPIGA MWADUI JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top