James Rodriguez (kulia) akishangilia na Lucas Vazquez baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za tatu na 11 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Granada usiku wa jana Uwanja wa Nuevo Los Carmenes mjini Granada kwenye mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Real yalifungwa na Alvaro Morata dakika za 30 na 35 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Texans defence stuns Chargers in NFL play-offs
-
The Houston Texans' defence stuns the Los Angeles Chargers 32-12 to
progress to week two of the NFL play-offs.
31 minutes ago
0 comments:
Post a Comment