// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); POLISI WAKAGUA GARI ZA WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE POLISI WAKAGUA GARI ZA WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, May 23, 2017

    POLISI WAKAGUA GARI ZA WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED

    Polisi wakikagua gari za wachezaji wa Manchester United wakielekea mazoeini viwanja vya Carrington leo, baada ya tukio la usiku wa jana la shambulio la kigaidi kwenye tamasha la muziki wa Pop mjini Manchester lililosababisha vifo vya watu 22 na wengine 119 kujeruhiwa 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: POLISI WAKAGUA GARI ZA WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top