Mshambuliaji wa KRC Genk, Mtanzania, Mbwana Ally Samatta (kushoto) akimuacha chini mchezaji KAS Eupen katika mchezo wa Kundi B kuwania tiketi ya kucheza michuano ya UEFA Europa League mwakani usiku wa jana Uwanja wa Luminus Arena, Genk. Genk ilishinda 2-1, Samatta akifunga bao la pili
Samatta akimtoka beki wa KAS Eupen anayeonekana kucheza rafu
Mbwana Samatta akipasua katikati ya wachezaji wa KAS Eupen
Mbwana Samatta akienda juu kutuliza mpira kifuani jana
Pamoja na kufungwa bao moja jana, Mbwana Samatta pia alikosa bao la wazi
Mbwana Samatta akipambana na mchezaji wa KAS Eupen
Mbwana Samatta alikuwa katika kiwango kizuri jana
Mbwana Samatta akipambana na mchezaji wa KAS Eupen
Mbwana Samatta alikuwa katika kiwango kizuri jana
0 comments:
Post a Comment