// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MLUNDWA ALIPOWEKA REKODI YA BINGWA MDOGO WA TAIFA 1974 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MLUNDWA ALIPOWEKA REKODI YA BINGWA MDOGO WA TAIFA 1974 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, May 07, 2017

    MLUNDWA ALIPOWEKA REKODI YA BINGWA MDOGO WA TAIFA 1974

    Refa Mulenga akimuinua mkono bondia wa Ziwa Magharibi, Kagera, Emmanuel Mlundwa (kulia) baada ya kumshinda kwa Knockout (KO), Adelhadrus Mukajanga wa Kilimanjaro (kushoto) raundi ya pili na kutwaa ubingwa wa Tanzania uzito wa Light Fly Machi mwaka 1974 akiwa ana umri wa miaka 17 na miezi 3.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MLUNDWA ALIPOWEKA REKODI YA BINGWA MDOGO WA TAIFA 1974 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top