Lionel Messi akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 45 na 82 kwa penalti katika ushindi wa 4-1 wa Barcelona dhidi ya Villarreal usiku wa Jumamosi Uwanja wa Camp Nou kwenye mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Neymar Junior dakika ya 21 na Luis Suarez dakika ya 69, wakati la Villarreal lilifungwa na Cedric Bakambu dakika ya 32 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
LaVine on Trade Rumors: 'If You're Not at That Level, They Wouldn't Talk
About You'
-
Chicago Bulls guard Zach LaVine knows that part of being included in trade
rumors means there are other teams interested in your production. "People
are…
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment