Kikosi kizima cha Mbao FC kikiwa nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana walipokwenda kwa mwaliko wa Mbunge wa jimbo la Ilemela, Dk. Angeline Mabula ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Mbao yenye maskani yake Ilemela, Mwanza kesho inatarajiwa kumenyana na Simba SC katika fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), au Azam Sports Federation Cup (ASFC).
Knicks and Bucks advance to NBA Cup knockout stage
-
The New York Knicks and Milwaukee Bucks earn their places in the NBA Cup
quarter-finals with decisive wins.
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment