Marouane Fellaini (kulia) akishangilia na Jesse Lingard (kushoto) baada ya kuifungia timu yake bao dakika ya 17 katika sare ya 1-1 na Celta Vigo ya Hispania kwenye mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Europa League usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Bao la Vigo lilifungwa na Facundo Roncaglia dakika ya 85 na Man United inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 2-1 baada ya kushinda 1-0 Hispania wiki iliyopita na itakutana na Ajax katika fainali Mei 24 nchini Sweden. Refa Ovidiu Alin Hategan wa Romania aliwatoa kwa kadi nyekundu wote, Roncaglia wa Celta Vigo na Eric Bailly kufuatuia kugombana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
How Michael Cheika's kit trick helped get the Leicester Tigers roaring -
and why the Premiership club will do anything to keep their inspirational
coach, writes CHRIS FOY
-
CHRIS FOY: Michael Cheika intends to spend Christmas Day helping out in a
Leicester soup kitchen, before resolving a dilemma about his future.
50 minutes ago
0 comments:
Post a Comment