Nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney akiwaongoza wenzake katika ukimya wa dakika moja kabla ya kuanza mazoezi viwanja vya Carrington, Manchester kuwaombea watu 22 waliofariki dunia baada ya shambulizi la kigaidi kwenye tamasha la muziki wa Pop mjini Manchester usiku wa Jumatatu tukio ambalo lilisababisha watu wengine 119 wajetuhiwe. United inafanya mazoezi hapo leo kujiandaa na mchezo wa fainali ya Europa League kesho Friends Arena mjini Stockholm, Sweden dhidi ya Ajax PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Norris takes Melbourne pole with Hamilton eighth
-
Lando Norris secures pole position for the Australian Grand Prix, while
Lewis Hamilton is eighth on his Ferrari debut.
34 minutes ago
0 comments:
Post a Comment