// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MANCHESTER UNITED SASA NI KLABU TAJIRI TENA DUNIUANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MANCHESTER UNITED SASA NI KLABU TAJIRI TENA DUNIUANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, May 31, 2017

    MANCHESTER UNITED SASA NI KLABU TAJIRI TENA DUNIUANI

    PAMOJA na kushindwa kumaliza ndani ya nne bora kwenye Ligi Kuu ya England, Manchester United imetajwa kama klabu yenye thamani kubwa zaidi duniani.
    Taarifa ya kampuni ya KPMG imeiweka Man United juu ya vigogo wa Hispania, Real Madrid na Barcelona licha ya klabu hiyo kuwa inamilikiwa na familia ya Glazer.
    Orodha ya klabu tajiri inaonyesha timu sita za Ligi Kuu Englaand kwenye 10 za mwanzo. 
    Ripoti hii inatokana na uchunguzi uliofanyika kwenye klabu 39 kutokana na umaarufu wake kwenye mitandao ya kijamii, mapato ya misimu ya 2014/15 na 2015/16 na mafanikio yake katika michuano ya Ulaya.

    Manchester United ndiyo klabu tajiri zaidi duniani kwa sasa kwa mujibu wa ripoti ya KPMG PICHA ZAIDI GONGA HAPA  

                 HIZI NDIZO KLABU TAJIRI ZAIDI DUNIANI  
    Nafasi Klabu Thamani
    ya chini 
    Thamani
    ya kati 
     Thamani
     ya  juu  
    Manchester United3,004 3,095 3,186 
    2Real Madrid2,8952,9763,057
    3Barcelona2,6882,7652,843
    4Bayern Munich 2,3672,4452,523
    5Manchester City 1,9091,9792,049
    6Arsenal 1,8821,9562,029
    7Chelsea1,5241,5991,674
    8Liverpool1,2601,3301,400
    9Juventus1,1581,2181,277
    10Tottenham9781,0111,044
    11PSG9489981,049
    12Borussia Dortmund9179711,025
    13Atlético Madrid771793815
    14Schalke663691719
    15Milan504547590
    16Leicester442462482
    17Everton431457483
    18Roma433453473
    19Inter 407429451
    20Napoli388409431
    21Galatasaray357377398
    22Fenerbahce330349368
    23Benfica326340353
    24Lyon301317334
    25Athletic Bilbao285300315
    26Ajax258274290
    27Sevilla249261273
    28Valencia225235246
    29Lazio215227240
    30Besiktas207219231
    31PSV Eindhoven201210220
    32Marseille179187196
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MANCHESTER UNITED SASA NI KLABU TAJIRI TENA DUNIUANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top