// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KWELI NI MPIRA WA MIGUU, LAKINI SI KWA MATEKE HAYA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KWELI NI MPIRA WA MIGUU, LAKINI SI KWA MATEKE HAYA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, May 01, 2017

    KWELI NI MPIRA WA MIGUU, LAKINI SI KWA MATEKE HAYA!

    Wachezaji wa Azam FC, beki Mghana Daniel Amoah (kulia) na kiungo Mcameroon Stephan Kingue (kushoto) walijikuta wakichezeana rafu wenyewe juzi Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam katika harakati za kumdhibiti kiungo wa Simba, Muzamil Yassin (katikati) katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), au Azam Sports Federation Cup (ASFC). Simba ilishinda 1-0
    Wachezaji wa kigeni wa Azam wanapeana maumivu huku kiungo wa Simba akijitoa
    Tukio lilianzia hapa, wakati Muzamil Yassin anajivuta kupiga mpira
    Baadaye, aliyeonekana kuugulia zaidi maumivu ni Kingue
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KWELI NI MPIRA WA MIGUU, LAKINI SI KWA MATEKE HAYA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top