// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KLOPP ALIVYOPAGAWA NA BAO LA LALLANA LEO ANFIELD - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KLOPP ALIVYOPAGAWA NA BAO LA LALLANA LEO ANFIELD - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, May 21, 2017

    KLOPP ALIVYOPAGAWA NA BAO LA LALLANA LEO ANFIELD

    Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp akikimbia kushangilia baada ya Adam Lallana kuifungia timu hiyo bao la tatu dakika ya 56 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Middlesbrough leo uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England hivyo kujihakikishia nafasi ya nne na kukata tiketi ya Ligi ya Mabingwa. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na  Georginio Wijnaldum dakika ya 45 na ushei na Philippe Coutinho dakika ya 51 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KLOPP ALIVYOPAGAWA NA BAO LA LALLANA LEO ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top