Mshambuliaji Muivory Coast, Kipre Herman Tchetche (kulia) akiwa ameshika Kombe la Mfalme lijulikanalo kama Sultan Cup baada ya ushindi wa 2-0 jana dhidi ya Dhofar FC Uwanja wa Sultan Qaboos Sport Complex mjini Muscat, Oman mchezaji huyo wa zamani wa Azam FC akifunga mabao yote dhidi ya timu ya mshambuliaji wa zamani wa Simba, Elias Maguri

0 comments:
Post a Comment