Mshambuliaji wa kimataifa wa England, Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia hat-trick Tottenham katika ushindi wa 7-1 dhidi ya wenyeji Hull City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu England Uwanja wa KCOM hivyo kufanikiwa kumaliza mfungaji bora wa ligi kwa mabao yake 29. Kane alifunga dakika za 11, 13 na 72 wakati mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Dele Alli dakika ya 45 na ushei, Victor Wanyama dakika ya 69, Ben Davies dakika ya 84 na Toby Alderweireld dakika ya 87, wakati la kufutia machozi la Hull City limefungwa na Sam Clucas dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Arteta spots differences in United's style
-
Arsenal boss feels United will be more of a threat than we were in the
league game last month.
49 minutes ago
0 comments:
Post a Comment