Wachezaji wa Chelsea wakishangilia na Kombe lao la ubingwa wa Ligi Kuu ya England walilokabidhiwa baada ya mechi dhidi ya Sunderland wakishinda 5-1 Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Willian dakika ya nane, Eden Hazard dakika ya 61, Pedro dakika ya 77, M. Batshuayi dakika ya 90 na 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Amorim's team news update
-
The boss hopes a key performer will be fit in time to face the Gunners.
6 minutes ago
0 comments:
Post a Comment