Mhasibu wa kampuni ya Bakhresa Limited, Abdulkarim Amin 'Popat' (kushoto) akipokea cheti cha kuhitimu kozi ya wiki moja ya uongozi wa michezo, iliyoandaliwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TF) kutoka kwa mgeni rasmi, Katibu ya Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Filbert Bayi (kulia), ambaye pia ni mwanariadha maarufu wa zamani wa kimataifa
Bayi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Ufundi ya IAAF (Shirikisho la Kimataifa ya Riadha) akimkabidhi cheti chake, Fatma Shibo, Ofisa wa Bodi ya Ligi ya TFF
Hapa ni zamu ya Mhasibu wa TFF, Danny Msangi ambaye pia ni Meneja wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars
Hapa ni zamu ya Meneja wa klabu ya Yanga, Hafidh Saleh
Hapa ni zamu ya Meneja wa Azam FC, Philipo Alando
Na Hapa ni washiriki wote katika picha ya pamoja na viongozi
GB's Maher second as Kenny wins World Cup jump-off
-
Britain's Ben Maher and Robert Whitaker are beaten by Darragh Kenny as the
Irishman triumphs in a jump-off at the FEI Jumping World Cup in London.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment