Wachezaji wa Barcelona wakiwa katika picha ya pamoja na Kombe lao la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey baada ya kukabidhiwa usiku wa jana kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Deportivo Alaves Uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid. Mabao ya Barca yalifungwa na Lionel Messi dakika ya 30, Neymar dakika ya 45 na Paco Alcecer dakika ya 45, wakati la Alaves lilifungwa na Theo Hernandez dakika ya 33 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Norris takes Melbourne pole with Hamilton eighth
-
Lando Norris secures pole position for the Australian Grand Prix, while
Lewis Hamilton is eighth on his Ferrari debut.
4 minutes ago
0 comments:
Post a Comment