// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AUBAMEYANG MFALME WA MABAO BUNDESLIGA, AMFUNIKA LEWANDOWSKI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AUBAMEYANG MFALME WA MABAO BUNDESLIGA, AMFUNIKA LEWANDOWSKI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, May 21, 2017

    AUBAMEYANG MFALME WA MABAO BUNDESLIGA, AMFUNIKA LEWANDOWSKI

    Mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang akifurahia na tuzo yake ya ufungaji bora wa Ligi Kuu Ujerumani, maarufu kama Bundesliga baada ya kumaliza na mabao 31 kufuatia jana kufunga mabao mawili katika ushindi wa 4-3 dhidi ya Werder Bremen na Mgabon huyo mwenye umri wa miaka 27 kumzidi mshambuliaji wa Bayern Munich, Robert Lewandowski katika kinyang'anyiro cha tuzo hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AUBAMEYANG MFALME WA MABAO BUNDESLIGA, AMFUNIKA LEWANDOWSKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top