Nyota wa Arsenal mwenye umri wa miaka 26, Aaron Ramsey akitimua mbio kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi dakika ya 79 ikiilaza 2-1 Chelsea katika fainali ya Kombe la FA England leo Uwanja wa Wembley, London. Bao la kwanza la Arsenal lilifungwa na Alexis dakika ya nne, kabla ya Diego Costa kuisawazishia Chelsea dakika ya 76. Chelsea ilimaliza pungufu baada ya Victor Moses kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano kwa kujiangusha kwenye boksi dakika ya 68 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Norris takes Melbourne pole with Hamilton eighth
-
Lando Norris secures pole position for the Australian Grand Prix, while
Lewis Hamilton is eighth on his Ferrari debut.
24 minutes ago
0 comments:
Post a Comment