Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akipokea Tuzo kutoka kwa Mshindi wa Medali ya Dhahabu ya mbio za Mumbai Marathoni mwaka huu, Alphonce Felix Simbu viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma. Wengine pichani ni Mkuu wa Utawala na Mafunzo JKT Kanali K. J. Mziray, Luteni Kanali J.P Meidini, Mkuu wa Kambi JKT Makuyuni Meja Mvula na Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano Multichoice Tanzania, John Mshana.
Hapa Simbu akimkabidhi tuzo hiyo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe
0 comments:
Post a Comment