Winga wa Simba, Shizza Kichuya (kushoto) akiwatoka wachezaji wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' na Gardiel Michael katika Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayojulikana kama Azam Sports Federtion Cup jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 1-0
Kiungo wa Simba, Muzamil Yassin akimtoka kiungo wa Azam, Himid Mao
Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo akimtoka beki wa Azam, Gardiel Michael
Kiungo wa Simba, Mohammed Ibrahim akimuacha kwenye dimbwi la maji beki wa Azam, Shomary Kapombe
Wachezaji wa Simba na Azam wakiingia uwanjani jana
Benchi la Ufundi la Simba kutoka kushoto Kocha Mkuu, Mcameroon Joseph Omog, Kocha Msaidizi, Mganda Jackson Mayanja, Kocha wa makipa Mkenya, Idd Salim na Meneja, Mussa Hassan Mgosi
Benchi la Ufundi la Azam kutoka kulia Kocha Mkuu Mromania, Aristica Cioaba, Msaidizi wake, Iddi Cheche, Meneja Philipo Alando na Kocha wa makipa, Iddi Abubakar
Kamisaa wa mchezo wa jana Nassor Hamdoun wa nne kushoto akiwa na marefa na Manahdha wa timu zote mbili jana
Kikosi cha Azam kabla ya mchezo wa jana
Kikosi cha Simba kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
Giants Rumors: Brian Daboll, Joe Schoen 'Are Not a Duo' amid Hot-Seat Buzz
-
The New York Giants hired both general manager Joe Schoen and head coach
Brian Daboll ahead of the 2022 season, but that reportedly doesn't mean
they will…
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment