Nahodha wa Azam FC, mshambuliaji John Raphael Bocco aliyekuwa majeruhi kwa muda mrefu akifanya mazoezi na timu yake Jumatano Uwanja mdogo wa Azam Complex, Chamazi, kujiandaa na mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation (ASFC) dhidi ya Simba SC Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mshambuliaji chipukizi Shaaban Iddi Chilunda akifanyaa mazoezi naye kujiandaa na mchezio huo
Beki tegemeo, Aggrey Morris aliyekuwa majeruhi pia, naye amefanya mazoezi
Nahodha Msaidizi wa Azam FC, Himid Mao naye amefanya mazoezi
Mabeki Mghana Daniel Amoah (kulia) na Gardiel Michael Mbaga (kushoto) nao wapo fiti pia
Kocha wa Azam FC, Mromania
Cody Gakpo urges 'special' Mohamed Salah to stay at Liverpool beyond this
season and insists the Reds are 'very lucky to have him' - with talisman's
contract expiring in the summer
-
Once again Salah has been instrumental to their success, and he recently
became the first Premier League player to have double figures in goals and
assists...
52 minutes ago
0 comments:
Post a Comment