Kylian Mbappe (kushoto) akishangilia kibabe baada ya kuifungia Monaco bao la kwanza katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Borussia Dortmund kwenye mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Louis II mjini Monaco, Ufaransa. Kulia ni mfungaji wa bao la pili Radamel Falcao dakika ya 17 na bao la tatu lilifungwa na Valere Germain dakika ya 81 wakati bao pekee la Dortmund lilifungwa na Marco Reus dakika ya 48. Monaco inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 6-3, baada ya awali kushinda 3-2 Dortmund PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Heta hits nine-darter but is latest seed out of Worlds
-
Ninth seed Damon Heta hits a nine-darter but is knocked out by Englishman
Luke Woodhouse in the third round of the PDC World Championship.
14 minutes ago
0 comments:
Post a Comment