Diego Costa akishangilia baada ya kufunga bao lake la pili jana dakika ya 89, baada ya kufunga lingine dakika ya 53 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji, Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao mengine ya Chelsea yalifungwa na Eden Hazard dakika ya tano na Gary Cahill dakika ya 45 na ushei, wakati ya Southampton yalifungwa na Oriol Romeu dakika ya 24 na Ryan Bertrand dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Housing ministry plans to create digital platform for artisans
-
By John Ogunsemore The Minister of Housing and Urban Development, Arc.
Ahmed Musa Dangiwa said the ministry plans to create an online application
for ski...
41 minutes ago
0 comments:
Post a Comment