Wachezaji wa Chelsea wakishangilia ushindi wao wa mabao 3-0 dhidi ya Everton Uwanja wa Goodison Park, Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Pedro dakika ya 66, Gary Cahill dakika ya 79 na Willian dakika ya 86 na sasa The Blues wanafikisha pointi 81 baada ya kucheza mechi 34, wakiendelea kuongoza ligi hiyo, wakifuatiwa na Tottenham Hotspur yenye pointi 73 za mechi 33 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Chelsea HIJACK Man United's move for top target Geovany Quenda in 'secret
blitz' as they 'agree deal' for Sporting Lisbon star and Ruben Amorim
favourite
-
Quenda was seen as Ruben Amorim's top right wing-back and the Red Devils
have been heavily linked with the starlet. But now the 17-year-old has
reportedly ...
13 minutes ago
0 comments:
Post a Comment