// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); CHELSEA WAINUA NDOO YA FA YA VIJANA, WAITWANGA MAN CITY - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE CHELSEA WAINUA NDOO YA FA YA VIJANA, WAITWANGA MAN CITY - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
    Thursday, April 27, 2017

    CHELSEA WAINUA NDOO YA FA YA VIJANA, WAITWANGA MAN CITY

    Wachezaji wa Chelsea wakifurahia na ubingwa wa Kombe la FA la vijana baada ya kuifunga 5-1 Manchester City jana Uwanja wa Stamford Bridge na kufanya ushindi wa jumla wa 6-2 baada ya sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Trevoh Chalobah dakika ya nane, Ike Ugbo dakika ya 24, Callum Hudson-Odoi dakika ya 61, Dujon Sterling dakika ya 67 na Cole DaSilva dakika ya wakati la Man City lilifungwa na  
    Lukas Nmecha dakika ya 53 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA WAINUA NDOO YA FA YA VIJANA, WAITWANGA MAN CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry