Kocha wa Newcastle, Rafa Benitez (katikati) akipongezana na wachezaji wake baada ya kufanikiwa kurejea Ligi Kuu ya England jana kufuatia ushindi wa 4-1 dhidi ya Preston North End katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Uwanja wa St. James' Park. Newcastle imefikisha pointi 88 baada ya kucheza mechi 44 na inaendelea kushika nafasi ya pili nyuma ya Brighton & Hove Albion wenye pointi 92 za mechi 44 ambao pia wamepanda Ligi Kuu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Giants Rumors: Brian Daboll, Joe Schoen 'Are Not a Duo' amid Hot-Seat Buzz
-
The New York Giants hired both general manager Joe Schoen and head coach
Brian Daboll ahead of the 2022 season, but that reportedly doesn't mean
they will…
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment