Robert Lewandowski (kushoto) akishangilia na wenzake baada ya kuiwezesha Bayern Munich kutwaa taji la tano mfululizo la Ligi Kuu Ujerumani, iitwayo Bundesliga kufuatia ushindi wa 6-0 dhidi ya Wolfsburg usiku wa jana Uwanja wa Volkswagen Arena. Lewandowski alifunga mabao mawili dakika za 36 na 45, David Alaba dakika ya 19, Arjen Robben dakika ya 66, Thomas Muller dakika ya 80 na Joshua Kimmich dakika ya 85, wakati kiungo wa zamani wa Bayern, Luis Gustavo alitolewa kwa kadi nyekundu upande wa Wolfsburg PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jack Draper storms into Indian Wells semi-finals with straight-sets victory
over Ben Shelton - and tees up clash with Carlos Alcaraz in last-four bow
-
After an even tussle to start the match, Draper struck first blood with a
break of serve in the seventh game en route to wrapping up the first set
6-4.
36 minutes ago
0 comments:
Post a Comment