Lionel Messi akiwa amebebwa na Jordi Alba baada ya kuifungia bao la ushindi Barcelona dakika ya 90 na ushei wakiwalaza 3-2 wenyeji, Real Madrid usiku huu Uwanja wa Santiago Bernabeu, Madrid katika mchezo wa La Liga. Messi amefunga mabao mawili leo, lingine dakika ya 33 huku bao lingine la Barca likifungwa na Ivan Rakitic dakika ya 73 na ya Real Madrid yamefungwa na Carlos Henrique Casemiro dakika ya 28 na James Rodriguez dakika ya 85. Real Madrid ilimaliza pungufu mechi hiyo baada ya beki wake, Sergio Ramos kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 77 kwa kumchezea rafu Messi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Giants Rumors: Brian Daboll, Joe Schoen 'Are Not a Duo' amid Hot-Seat Buzz
-
The New York Giants hired both general manager Joe Schoen and head coach
Brian Daboll ahead of the 2022 season, but that reportedly doesn't mean
they will…
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment