
Sunday, April 30, 2017

Na Mwandishi Wetu, YAOUNDE TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imeendeleza wimbi la ushindi katika mechi zak...
MANCHESTER CITY YAAMBULIA SARE 2-2 RIVERSIDE
Sunday, April 30, 2017
Nyota wa Manchester City, Leroy Sane akienda chini baada ya kukwatuliwa na Marten de Roon wa Middlesbrough, rafu iliyosababisha penalt...
ARSENAL WAMVAA REFA WAKIGONGWA 2-0 NA SPURS ENGLAND
Sunday, April 30, 2017
Wachezaji wa Arsenal wakimlalamikia refa kwamba Harry Kane alijirusha baada ya kugongana na wachezaji wa Arsenal ili apewe penalti, ambay...
CHELSEA YAZIDI KUUSOGELEA UBINGWA, YAIBUTUA EVERTON 3-0
Sunday, April 30, 2017
Wachezaji wa Chelsea wakishangilia ushindi wao wa mabao 3-0 dhidi ya Everton Uwanja wa Goodison Park, Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Ku...
ANTHONY JOSHUA VS WLADIMIR KLITSCHKO
Sunday, April 30, 2017
MBAO WAIFUATA SIMBA FAINALI KOMBE LA TFF
Sunday, April 30, 2017
Na Mwandishi Wetu, MWANZA YANGA imevuliwa taji la pili msimu huu, baada ya kutupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania...
MAN UNITED YALAZIMISHWA SARE NA SWANSEA CITY
Sunday, April 30, 2017
Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford akienda chini baada ya kuangushwa na kipa wa Swansea City, Lukasz Fabianski na refa Ne...
VIONGOZI AZAM FC WAJITATHMINI BAADA YA MATOKEO MABAYA ZAIDI NDANI YA MIAKA MITANO
Sunday, April 30, 2017
KIPIGO cha bao 1-0 kutoka kwa Simba jana katika Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), au Azam Sports Federation Cup (...
ATHUMANI MACHUPPA ENZI ZAKE ALIKUWA ANAPEPERUKA BALAA
Sunday, April 30, 2017
Mshambuliaji wa Simba, Athumani Machuppa akimtoka beki wa CDA ya Dodoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya Safari Lager mwaka 1999 Uwanja wa Ta...
SIMBA NA AZAM KATIKA PICHA JANA TAIFA
Sunday, April 30, 2017
Winga wa Simba, Shizza Kichuya (kushoto) akiwatoka wachezaji wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' na Gardiel Michael katika Nusu...
SAMATTA ATOKEA BENCHI, GENK YAUA 3-0 KUFUZU ULAYA
Sunday, April 30, 2017
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana ametokea benchi KRC Genk ikiibuka na ushin...
ESPANYOL 0-3 BARCELONA
Sunday, April 30, 2017
REAL MADRID 2-1 VALENCIA
Sunday, April 30, 2017
BAYERN WABEBA NDOO YA BUNDESLIGA KWA MARA YA TANO MFULULIZO
Sunday, April 30, 2017
Robert Lewandowski (kushoto) akishangilia na wenzake baada ya kuiwezesha Bayern Munich kutwaa taji la tano mfululizo la Ligi Kuu Ujeruman...
SUAREZ AFUNGA MAWILI BARCELONA YAWAPA ESPANYOL 3-0
Sunday, April 30, 2017
Luis Suarez akifurahia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 50 na 87 katika ushindi wa 3-0 usiku wa jana Uwanja wa RCDE mjini Cornell...
RONALDO AFUNGA, AKOSA PENALTI REAL MADRID YASHINDA 2-1
Sunday, April 30, 2017
Cristiano Ronaldo akiwa hewani kupigwa kichwa kuipatia bao la kuongoza Real Madrid dakika ya 27 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Valencia u...
ANTHONY JOSHUA AMMALIZA KLITSCHKO RAUNDI YA 11
Sunday, April 30, 2017
Refa David Fields kutoka Marekani akimuondoa bondia Anthony Joshua (kushoto) huku mpinzani wake, Wladimir Klitschko akijikokota kuinuka...
Saturday, April 29, 2017
AZAM FC WALIA NA REFA, WADAI AKRAMA KAWABEBA SIMBA
Saturday, April 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Iddi Nassor Cheche ameponda uchezeshaji wa refa Mathew Akrama katika Nusu Fain...
LEICESTER CITY YANG'ARA ENGLAND, YAILAZA WEST BROM 1-0
Saturday, April 29, 2017
Jamie Vardy akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee Leicester City dakika ya 43 ikiifunga 1-0 West Brom katika mchezo wa Ligi ...
MOYES AIPOROMOSHA DARAJA SUNDERLAND, YAPIGWA 1-0 NYUMBANI
Saturday, April 29, 2017
Kocha wa Sunderland, David Moyes akiwa haamini macho yake baada ya timu yake kufungwa nyumbani 1-0 na Bournemouth bao pekee la Joshua Ki...
SIMBA WATINGA FAINALI KOMBE LA TFF, SASA WANAISUBIRI YANGA INAMENYANA NA MBAO KESHO
Saturday, April 29, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SIMBA SC imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), linalojulikana kama A...
VIKOSI VINAVYOANZA SIMBA NA AZAM HATARI TUPU
Saturday, April 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM REFA wa Mwanza, Mathew Akrama atapuliza filimbi Saa 10:00 kuanzisha Nusu Fainali ya kwanza ya Kombe la Sh...
HAFLA YA UCHANGIAJI SERENGETI BOYS SERENA HOTEL JANA
Saturday, April 29, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akipokea mpira kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi jana katika hafla...
SERIKALI YATANGAZA NIA YA KUZALISHA MABILIONEA WANAMICHEZO
Saturday, April 29, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kwamba Serikali sasa imeanza mchakato wa kutengeneza mabilionea kup...
Friday, April 28, 2017
JOHN BOCCO NI MTU HATARI INAPOKUJA AZAM NA SIMBA
Friday, April 28, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SIKU mbili zijazo, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itakuwa kwenye kibarua kizito kusak...
SIMBA NA YANGA WACHUKUA TAHADHARI KUBWA DHIDI YA AZAM, MBAO
Friday, April 28, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM VIGOGO wa soka nchini, Simba wameonekana kuchukua tahadhari kubwa kuelekea mechi zao za Nusu Fainali ya K...
MAN CITY 0-0 MAN UNITED
Friday, April 28, 2017
FELLAINI 'AMTWISHA NDOO' AGUERO, ALIMWA NYEKUNDU...MAN UNITED PUNGUFU YALAZIMISHA SARE ETIHAD
Friday, April 28, 2017
Sergio Aguero wa Manchester City akienda chini dakika ya sita huku ameshika kichwa baada ya kudai amepigwa kichwa na Marouane Fellaini wa...
Thursday, April 27, 2017
MKUBWA NA MWANAWE PATAKUWA HAPATOSHI WEMBLEY JUMAMOSI
Thursday, April 27, 2017
Mabondia Anthony Joshua (kushoto) na Wladimir Klitschko (kulia) wakigonganisha ngumi huku wakitazamana wakati wa zoezi la kupima uzito ...
Subscribe to:
Posts (Atom)