Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi Uwanja wa Taifa wa Mashujaa mjini Lusaka, Zambia leo kujiandaa na mchezo wa marudiano hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Zanaco kesho kwenye jioni Uwanja huo huo. Mechi ya kwanza Jumamosi iliyopita Dar es Salaam timu hizo zilitoka sare ya 1-1
Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' (kushoto) akifurahia wakati wa mazoezi hayo
Yanga inahitaji ushindi katika mchezo wa ugenini kesho ili kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Salum Mkemi (kushoto) akipiga picha na Kocha Mkuu, George Lwandamina (katikati)
Maofisa wa bechi la Ufundi wakitazama mazoezi hayo leo
League Two clash delayed 56 MINUTES with game suspended as 'dangerous'
weather sees play grind to a halt after just four minutes of action
-
A League Two clash was delayed by 56 minutes after referees determined that
conditions were unplayable just four minutes into the game.
47 minutes ago
0 comments:
Post a Comment