Kocha wa Yanga, Mzamba George Lwandamina (kushoto) akiwa na wasaidizi wake wakipata chakula Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA), Nairobi, Kenya leo wakisubiri kuunganisha ndege kwenda Lusaka, Zambia kwa ajili ya mchezo wa marudiano hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi dhidi ya wenyeji, Zanaco
Kushoto ni Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' na beki mwenzake, Oscar Joshua kulia
Hapa wachezaji wa Yanga wakichukua chakula JKIA kabla ya kuunganisha ndege ya Lusaka
Hapa wachezaji wengine wa Yanga 'wakipiga stori' kuvutaa muda wa kupanda ndege nyingine usiku wa leo
Katikati ni Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh akiwa na Maofisa wengine wa benchi la Ufundi
Everton vs Peterborough: FA Cup tie WILL be played tonight - after snow and
ice had threatened to postpone the game
-
The FA Cup third-round tie between Everton and Peterborough will be played
tonight after concerns were raised about the game being postponed due to
adverse...
46 minutes ago
0 comments:
Post a Comment