Winga wa Yanga, Simon Msuva akimtoka beki wa Kiluvya United katika mchezo wa mwisho wa hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), au Azam Sports Federation Cup (ASFC) Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 6-1 na kwenda Robo Fainali
Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akitafuta maarifa ya kumpokonya mpira beki wa Kiluvya
Kocha Mzambia wa Yanga, George Lwandamina akizungumza na Chirwa ambaye jana alifunga mabao manne peke yake
Kikosi cha kilichoanza jana
Kikosi cha Kiluvya United Uwanja wa Uhuru jana
Chelsea Green Beats Michin to Win 1st Ever WWE Women's United States Title
at SNME
-
Chelsea Green defeated Michin on Saturday Night's Main Event to become the
inaugural WWE Women's United States Champion. Michin appeared to be taking
control…
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment