// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA HII NAYO ILIKUWA INA MAFUNDI KIBAO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA HII NAYO ILIKUWA INA MAFUNDI KIBAO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, March 05, 2017

    YANGA HII NAYO ILIKUWA INA MAFUNDI KIBAO

    Kikosi cha Yanga mwaka 1994; kutoka kulia waliosimama ni Suleiman Mkati, Kenneth Mkapa, Steven Nemes, Constantine Kimanda na Salum Kabunda. Waliochuchumaa kutoka kulia ni Said Mwamba ‘Kizota’ (marehemu), James Tungaraza (marehemu), Edibily Lunyamila, Sekilojo Chambua na Nico Bambaga (marehemu). 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA HII NAYO ILIKUWA INA MAFUNDI KIBAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top