Nahodha wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akienda chini baada ya kuchezewa rafu na Thero Setsile wa Botswana (kulia) katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Taifa Stars ilishinda 2-0
Mbwana Samatta akipasua katikati ya wachezaji wa Botswana
Shiza Kichuya (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa Botswana
Beki wa Botswana akiokoa mpira wa juu
Farid Mussa wa Tanzania akiondoka na mpira
Salum Abubakar 'Sure Boy' akimdhibiti mchezaji wa Botswana
Muzamil Yassin wa Tanzania akimiliki mpira (kuia)
Himid Mao wa Tanzania (kushoto) akimiliki mpira
Mgeni rasmi, Waziri mpya wa Michezo, Dk. Harison Mwakyembe akisalimiana na mshambuliaji wa Taifa Stars, Ibrahim Hajib
Wachezaji 11 wa Taifa Stars walioanza jana
Magic Johnson left emotional at Presidential Medal of Freedom award
ceremony Lionel Messi skipped
-
Johnson and soccer legend Lionel Messi were the only sports stars on the
list. But while Messi skipped the ceremony, Johnson headed to the White
House to c...
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment