Mratibu wa klabu ya Singida United iliyorejea Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kuanzia msimu ujao, Sanga Festo (katikati) akiwakabidhi jezi wachezaji kutoka Zimbabwe, Elias Muroiwa (kulia) na Wisdom Mutasa (kushoto) baada ya wote kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu hiyo wote kutoka Dynamos FC ya kwao
Sanga Festo akimkabidhi fedha za kusaini mkataba wa miaka miwili Muroiwa mwenye umri wa miaka 27 (kulia)
Sanga Festo akimkabidhi fedha zake Mutasa mwenye umri wa miaka 22. Singida United ipo chini ya ulezi wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba


0 comments:
Post a Comment