// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, March 05, 2017

    SIMBA NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Kiungo wa Mbeya City, Mrisho Ngassa (kulia) akimtoka beki wa Simba, Abdi Banda katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2 
    Beki wa Simba, Hamad Juma (kulia) akimdhibiti Bryson Raphael wa Mbeya City 
    Beki wa Mbeya City, Haruna Shamte akimtoka kiungo Said Ndemla jana
    Refa Jacob Adongo akizungumza na wachezaji wa timu zote mbili jana
    Wachezaji wa Mbeya City wakipamiana katika harakati za kuokoa mpira wa juu
    Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto (katikati) akizungumza na wana Mwanza wenzake, Haruna Shamte (kushoto) na Mrisho Ngassa (kulia)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top