Beki wa timu ya vijana chini chini ya umri wa miaka 17 wa Burundi, Paul Amatungo akiingia miguuni mwa mchezaji wa Tanzania, Ally Hamisi Ng'anzi katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Serengeti Boys ilishinda 3-0
Ally Ng'anzi akijaribu kumpita Nahodha wa Burundi, Omar Nzeyimana
Ally Ng'anzi alimpasia Muhsin Makame kufunga bao la kwanza jana
Kipa wa Serengeti Boys, Ramadhani Kabwili akidaka mpira wa juu
Yohanna Oscar Nkomola (kushoto) akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Burundi
Nickson Kibabage akiwatoka wachezaji wa Burundi huku refa Jeonesia Rukyaa akishuhudia
Kocha Mkuu wa Serengeti Boys, Bakari Shime mbele ya Mshauri wa Ufundi, Kim Poulsen jana
Viongozi mbalimbali wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutoka kushoto Ayoub Nyenzi, Pellegrinius Rutayuga, Geoffrey Nyange 'Kaburu' na Umande Chama walikuwepo jana Kaitaba







![]() |
kikosi cha Serengeti Boys jana Kaitaba |
![]() |
Kikosi cha Burundi jana |
0 comments:
Post a Comment